- 319 viewsDuration: 2:13Naibu Inspekta Mkuu wa Polisi, Gilbert Masengeli, amewahakikishia wafugaji kutoka kaunti ya Meru, kuwa usalama wao umeimarishwa licha ya baadhi ya maafisa waliokuwa wakilinda maeneo hayo kuwa kwenye mafunzo, na uvamizi wa wafugaji mara kwa mara.