6 Feb 2026 10:28 am | Citizen TV 91 views Duration: 1:39 Wanachana wa shamba la Imbirikani lililoko Kajiado Kusini ambalo limekuwa likikumbwa na mzozo wa muda mrefu wamepinga vikali njama ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa Viongozi wa shamba hilo .