Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto aongoza hafla ya NYOTA Pwani

  • | Citizen TV
    140 views
    Duration: 1:04
    Rais William Ruto ameongoza hafla ya kutoa pesa za mtaji kwa vijana katika mradi wa nyota jijini Mombasa. Katika awamu ya leo, vijana waliopewa shilingi elfu 25 kila mmoja walitoka kaunti za Mombasa, Kwale na Taita taveta.