Skip to main content
Skip to main content

Vyoo hatari shuleni Mweruti kaunti ya Laikipia

  • | Citizen TV
    160 views
    Duration: 4:08
    Wanafunzi wa shule ya chekechea ya Mweruti eneo la Sweetwater's katika Kaunti ya Laikipia, wanatoa wito kwa serikali kuingilia kati kufuatia hali mbaya ya vyoo shuleni humo. Shule hiyo yenye zaidi ya wanafunzi 20 inalazimika kutumia choo kimoja kilichochakaa, kinachoyumba na kuporomoka upande mmoja, hali inayomlazimu mwanafunzi mmoja kushikilia mlango ili kumsaidia mwenzake