Skip to main content
Skip to main content

Taasisi ya KISE yazindua mradi wa kufadhili wanafunzi walemavu

  • | Citizen TV
    49 views
    Duration: 2:04
    Wanafunzi zaidi ya 150 wenye mahitaji maalum katika shule ya Ndala Jobs outreach for the phyisically disabled wamepata afueni baada ya kupokea vifaa kutoka Taasisi ya Kenya ya Elimu Maalum (KISE), hatua inayolenga kuboresha ujifunzaji na kuongeza ushiriki wao katika elimu.