6 Feb 2026 1:22 pm | Citizen TV 70 views Duration: 59s Serikali imeongeza juhudi za kukabiliana na ukame katika kaunti ya Turkana na maeneo mengine yaliyoathiriwa ili kulinda mifugo na kuhifadhi maisha ya jamii za wafugaji zilizoathiriwa na ukame unaoendelea