Skip to main content
Skip to main content

Wanawake zaidi ya 300 wa chama cha PAA wahamia ODM Kilifi

  • | Citizen TV
    1,346 views
    Duration: 1:55
    Wanawake zaidi ya mia tatu ambao ni viongozi wa nyanjani wa chama cha PAA kaunti ya Kilifi wamekihama chama hicho na kujiunga na chama cha ODM. Wakiongozwa na mwanachama wa baraza kuu la kitaifa la chama cha PAA Elizabeth Muthooka wamesema wamechukua uamuzi huo kutokana na kile wanachodai kuhadaiwa na uongozi wa chama hicho, licha ya kukiunga mkono kwa muda mrefu.