6 Feb 2026 1:42 pm | Citizen TV 150 views Duration: 2:18 Wakaazi wa Ndumumu kwenye mpaka wa Kathiani na Mwala kaunti ya Machakos wanalalamikia hatua ya baadhi ya waekezaji wa kibinafsi kwa kuanzisha mpango wa kutumia maji kutoka bwawa la Ndumumu ambalo wanahisi huenda likakauka.