- 96 viewsDuration: 2:24Idadi kubwa ya wanafunzi wa shule za chekechea huenda wataendelea kuteseka wakati mvua ya mwezi wa tatu kutokana na ukosefu wa madarasa na sasa wengi watalazimika kusomea chini ya mti shule zilizoadhirika sana zikiwa za kutoka vijijini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya