Skip to main content
Skip to main content

Siaya na Lwala kuimarisha afya baada ya kutia saini mkataba wa maelewano wa miaka 5

  • | NTV Video
    182 views
    Duration: 1:05
    Serikali ya Kaunti ya Siaya na Muungano wa Jumuiya ya Lwala wametia saini Mkataba wa Maelewano wa miaka mitano (MOU) ili kuimarisha mifumo ya afya ya jamii, inayolenga kupunguza vifo vya uzazi na watoto wachanga. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya