6 Feb 2026 7:24 pm | Citizen TV 393 views Mgogoro ndani ya chama cha ODM unazidi kutokota huku kinara wake Dkt. Oburu Oginga sasa akimuonya katibu edwin sifuna akome kuwapotosha wafuasi wa chama hicho. Oburu amemtaka sifuna kuheshimu uamuzi wa chama na kumtaja sifuna kama mnafiki