- 222 viewsViongozi wa upinzani wamewataka wakenya kuungana ili kumwondoa rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027. Viongozi hao wamedai serikali imefeli kimaendeleo na imebobea katika ufisadi. Aidha walipuuzilia mbali mpango wa serikali kupunguza makato ya ushuru wa mishahara kama kuwapumbaza wakenya