Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa upelelezi wakamata washukiwa wawili wa wizi wa pesa kutoka maduka ya Mpesa

  • | Citizen TV
    104 views
    Maafisa wa Upelelezi wamewakamata washukiwa wawili wanaohusishwa na wizi wa pesa kutoka kwenye maduka kadhaa ya Mpesa humu nchini...washukiwa hao walikamatwa katika uwanja wa JKIA walipotua kutoka Zambia ambako inaaminika walikuwa mafichoni