Skip to main content
Skip to main content

Mamia ya wanafunzi wa KCSE 2025 wasajiliwa katika mpango wa Equity Leadership Program

  • | Citizen TV
    20 views
    Mamia ya wanafunzi waliofaulu katika mtihani wa KCSE mwaka 2025 wana kila sababu ya kutabasamu baada ya mpango wa Equity Leadership Program kuwasajili na kuwapa nafasi ya kupokea mafunzo maalum. Mafunzo hayo yanayohusu uongozi na maadili yatafanyika jijini Nairobi. Wanafunzi hao wanatoka kaunti za Kisii, Migori na Machakos