- 615 viewsDuration: 5:31Padri Daniel Raphael Muriithi aliyehudumu katika kanisa katoliki kwa miaka hamsini amezikwa katika makaburi ya kanisa la Sacred Heart of Jesus kaunti ya Muranga. Waliohudhuria ibada ya wafu wakimsifu Padre Murithii kama kiongozi mwema na aliyeishi maisha ya ukristo kwa kujitolea.