Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa wa mauaji akiri kumuua mtoto Tamara huko Nyeri

  • | Citizen TV
    1,559 views
    Duration: 2:43
    Mahakama kuu kaunti ya Siaya imeagiza kuendekea kuzuiliwa kwa afisa wa polisi aliyenaswa kwenye video akitekeleza wizi wa mabavu akiwa na bunduki. Mark Owino, atazuiliwa kwa siku saba zaidi kutoa nafasi ya uchunguzi kukamilika. Hayo yanajiri huku mahakama jijini Nairobi pia ikidinda kumwachilia kwa dhamana afisa wa polisi wa zamani Klinzy Baraza aliyempiga risasi na kumuua mchuuzi wa maski.