Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa kaunti ya Lamu wahangaika kwa ukosaji wa maji

  • | Citizen TV
    100 views
    Duration: 2:41
    Kwa miezi miwili sasa, Wakaazi wa eneo la Basuba wanaoishi ndani ya msitu wa Boni kaunti ya Lamu wameendelea kuhangaika kupata maji. Wakazi wa eneo hili wakilazimika kupata mitungi miwili tu ya maji kwa kila baada ya siku nne. uhaba huu umesababishwa na athari za kiangazi baada ya visima kukauka