Mvuvi alivyojaribu kuokoa marubani wa ndege iliyoanguka Tanzania

  • | BBC Swahili
    17,613 views
    Mvuvi ambaye alikuwa mmoja wa watoa huduma wa kwanza katika eneo la ajali ya ndege iliyoua watu 19 katika Ziwa Victoria nchini Tanzania, ameeleza jinsi alivyojaribu kuwaokoa marubani waliokuwa wamekwama kwenye chumba cha rubani na jinsi alivyokaribia kupoteza maisha. #bbcswahili #tanzania #precisionairtz