Wahadhiri wapinga mipango ya serikali kufutilia mbali ufadhili wa vyuo vikuu

  • | Citizen TV
    856 views

    Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini wamemkosoa waziri wa elimu Ezekiel Machogu kufuatia tangazo lake kuwa serikali haitafadhili tena vyuo vikuu vya umma. Katibu mkuu wa chama cha wahadhiri-UASU- Constantine Wasonga, amesema pendekezo hilo halina msingi wowote na litaathiri pakubwa shughuli vyuoni.