- 185 viewsMgomo wa marubani wa Shirika la Ndege la Kenya Airways lasabibisha kukwama kwa mamia ya safari na bidhaa za kilimo kutoweza kusafirishwa ikiwa ni adha kubwa kwa wafanyabiashara mazao yao kuharibika ambao wanasema mgomo huu utawakosesha pia fursa ya kuendelea kufanya biashara na mataifa ya nje. Kwa upande wa serikali ya Kenya Waziri wa Kilimo amewaomba marubani hao kusitisha mgomo kwa maslahi ya taifa. Hii hapa ni habari kamili... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Kenya: Serikali yawaomba marubani wa ndege waliogoma kurudi kazini
- 3 Jul 2025 - Microsoft on Wednesday said it was slashing a little less than four percent of its global workforce as it seeks to cut layers of middle management and leverage new technologies.
- 3 Jul 2025 - The Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists Union (KMPDU) has strongly condemned the harassment and threats directed at striking doctors in Kwale County. This follows a Tuesday, July 1, 2025, incident where tension flared up at the…
- 3 Jul 2025 - A prominent Zimbabwean journalist was detained Wednesday over a satirical article critical of President Emmerson Mnangagwa, in a charge media groups decried was another attack on freedom of expression.
- 3 Jul 2025 - Several senators have criticised their National Assembly counterparts for excluding them from formulating the Constitution of Kenya (Amendment) Bill 2025, which seeks to entrench various government funds. Senators Edwin Sifuna (Nairobi), Samson Cherargei…
- 3 Jul 2025 - Teacher and social media influencer Albert Ojwang’ was on July 2, 2025, eulogised as a man of few words but with boundless generosity. A low-key memorial service attended by a handful of mourners at the Ridgeways Baptist Church in Nairobi was held in…
- 3 Jul 2025 - Senate Speaker Amason Kingi has gazetted two days for Isiolo Governor Abdi Guyo’s impeachment trial. This even as Guyo’s defence team prepares to challenge the move by the county assembly to defy a court order not to proceed with the impeachment motion.…
- 3 Jul 2025 - Allies sucked into tycoons' trade war
- 3 Jul 2025 - Nairobi Hospital ordered to pay worker sacked over three plates of food
- 3 Jul 2025 - Birth of Saba Saba as rallies
- 3 Jul 2025 - Crushing defiance and ignoring graft sends the wrong message