- 104 viewsUchaguzi wa Jumanne unaadhimisha kuhitimisha kupiga kura kwa wapiga kura kujitokeza katika vituo vya kupiga kura nchini Marekani, katika uchaguzi wa katikati ya muhula wa Novemba 8, 2022. Wakati Wademokrat wakishikilia hivi sasa wingi katika bunge, lakini kama historia ni ishara, huenda chama cha Joe Biden kikapoteza darzeni ya viti. Endelea kusikiliza uchambuzi huu wa repoti maalum ya yale yanayotabiriwa kutokea katika uchaguzi huu... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Uchaguzi wa katikati ya muhula unafikia kilele leo Jumanne nchini Marekani
- 4 Jul 2025 - The family of a Kenyan police officer who went missing while on a peacekeeping mission in Haiti has moved to court, accusing the government of withholding crucial information about his fate.
- 4 Jul 2025 - Kenyans have been urged to take full advantage of the newly launched Deposit Assistance Initiative, aimed at making homeownership more accessible to all.
- 4 Jul 2025 - Machakos County clinicians have issued a seven-day strike notice after talks with the county government collapsed.
- 4 Jul 2025 - The convoy was busy in their anti-government rallies when the event happened.
- 4 Jul 2025 - A man was on Friday arraigned at the Milimani Law Courts for allegedly defrauding another individual of Ksh.4.1 million in a fraudulent car sale deal.
- 4 Jul 2025 - Gen Zs have recently been described as the 'unofficial Opposition.'
- 4 Jul 2025 - He was found guilty or the rape and murder of one girl; he has been linked to five other murder cases.
- 4 Jul 2025 - Wanga emphasised need for accountability and justice, calling for those responsible to face the full force of the law.
- 4 Jul 2025 - The move comes ahead of a deadline that may see much higher import taxes on goods coming into the US.
- 4 Jul 2025 - Her body was found by her grandmother hanging inside their home.