Skip to main content
Skip to main content

Nyahururu: magavana hawataki maswali kutoka kwa maseneta kuhusu uwajibikaji wa pesa za umma

  • | TV 47
    57 views
    Duration: 5:00
    "Mvutano kati ya magavana na maseneta unatokea kwa sababu magavana hawataki kuulizwa maswali kuhusu namna wanavyotumia fedha za umma; wanataka tu uhuru wa kutumia fedha hizo bila uwajibikaji. Vilevile, magavana wanajaribu kuwapunguzia nguvu maseneta kwa sababu wengi wao wanapanga kuwania au kujitosa katika ulingo wa siasa, ikiwemo kuwania viti vya ugavana." - Mkazi, Nyahururu #TV47Matukio Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __