- 7,860 viewsDuration: 2:58Rais William Ruto amewasuta wakosoaji wa mpango wa kujiendeleza kiuchumi wa vijana almaarufu Nyota, akisema serikali itaimarisha mipango inayonuiwa kubuni nafasi za ajira pamoja na fursa za kibiashara kwa ajili ya vijana humu nchini. Akihutubia mkutano wa hadhara katika shule ya upili ya Garissa wakati wa hafla ya kuendeleza mpango wa Nyota katika eneo hilo, Rais Ruto alisema mradi huo wa kitaifa umebadilisha maisha ya vijana wengi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive