Skip to main content
Skip to main content

Shamrashamra za Wiki ya redio zashamiri katika shirika la utangazaji la KBC

  • | KBC Video
    59 views
    Duration: 3:04
    Vyombo vya habari vimehimizwa kukumbatia mabadiliko ibuka katika sekta ya uanahabari, ili kuendelea kuwa na ushawishi. Watu mashuhuri waliozuru shirika la utangazaji humu nchini, KBC kama sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Redio, walikariri umuhimu wa matumizi ya akili unde almaarufu 'AI' kupiga jeki juhudi za binadamu katika utangazaji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive