Mwanafunzi wa miaka 9 atambuliwa kwenye kongamano la Umoja wa Mataifa kwa juhudi za kupanda miti

  • | Citizen TV
    2,512 views

    Huku kongamano la Mabadiliko ya tabianchi likiendelea mjini Sharm El Sheikh nchini Misri, ndoto ya Karen Kimani mwanafunzi mkenya wa miaka 9 ilitimia. Karen ambaye anajihusisha sana na upanzi wa miti na miche alikutana na Rais William Ruto na kutimiza ndoto yake ya kukutana naye. Binti huyo ambaye amepanda zaidi ya miti elfu 10 alizungumza na meneja mhariri wa runinga ra Citizen Jamila Mohamed na hii hapa taarifa yake