| MWANAMKE BOMBA | Stella Siamanten, mwanamke mlemavu ambaye ni fundi stadi wa nguo

  • | Citizen TV
    464 views

    Katika makala ya mwanamke wiki hii tunamwangazia mwanamke mlemavu ambaye ni fundi stadi wa kushona nguo mjini Maralal kaunti ya Samburu. Stella Siamanten Lesiilo mwenye umri wa miaka 29 anasema nusura atupwe na mamake mzazi baada ya kuona kuwa ni mlemavu lakini majirani wakamtia moyo mamake akamlea hadi akawa mtu mzima na sasa ni fundi mwenye sifa sufufu mjini Maralal.