Inspekta mkuu mteule akuwa na wakati mgumu kujibu maswali mbele ya kamati za Seneti

  • | NTV Video
    1,399 views

    Inspekta mkuu mteule wa polisi Japhet Koome, amekuwa na wakati mgumu wa kujibu maswali mbele ya kamati za seneti na bunge ka kitaifa, baada ya kukiri kuwa kuna kiwango kikubwa cha ufisadi katika idara ya polisi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya