Wakulima wa Tezo kaunti ya Kilifi wang'oa mibuyu mashambani

  • | Citizen TV
    607 views

    Wakazi wa Tezo kaunti ya Kilifi wameamua kung'oa mibuyu wanayosema imetatiza kilimo katika eneo hilo. Kulingana nao, mibuyu hutumia maji mengi na hivyo kuathiri mazao.