Koome asailiwa kwa wadhifa wa Inspekta Jenerali

  • | KBC Video
    29 views

    Mteule wa wadhifa wa inspekta generali wa polisi Japheth Koome alikabiliwa na wakati mgumu alipotakiwa aeleze kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2017 alipohudumu kama kamanda wa polisi katika eneo la Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #japhethkoome #News