Mabadiliko ya hali ya hewa | Rais Ruto asema jamii za Afrika zinapasa kufidiwa

  • | KBC Video
    149 views

    Rais William Ruto amesema jamii zinazoshiriki katika juhudi za kupunguza kiwango cha gesi ya kabon zinafaa kufidiwa ipasavyo. Akiongea wakati wa uzinduzi wa mpango wa utoaji fidia ya gesi ya kabon barani Afrika katika eneo la Sharm El-Sheikh, nchini Misri Rais Ruto alisema Kenya imejitolea kushirikiana na mipango sawia ili kupanua fursa zinazotokana na masoko na fidia ya gesi hiyo humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #haliyahewa #News #williamruto