Waziri wa elimu apuuzilia mbali matamshi kwamba serikali itasitisha ufadhili wa vyuo vikuu

  • | KBC Video
    30 views

    Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amepuuzilia mbali matamshi aliyohusishwa nayo kwamba serikali itasitisha ufadhili wa vyuo vikuu. Machogu amesema alinukuliwa visivyo kwani alikuwa tu akihimiza vyuo vikuu kutafuta mbinu mbadala za kutafuta mapato. Alisema ufadhili wa vyuo vikuu umejikita kwenye kanuni kupitia bodi ya mikopo ya vyuo vikuu na hautathiriwa na juhudi za serikali za kupunguza gharama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #elimu #News #vyuovikuu #EzekielMachogu