Hoja ya mbunge Fafi yaibua hisia mseto

  • | K24 Video
    86 views

    Hisia mseto zimeibuka kufuatia hoja ya mbunge wa fafi yakub salah kutaka muda wa kuhudumu kwa rais kuondolewa katika katiba. Kulingana na mbunge huyo, rais anapaswa kuhudumu hadi atakapofikisha miaka sabini na mitano.