Inspekta jenerali mteule wa polisi Japhet Koome ahojiwa na kamati ya usalama

  • | K24 Video
    12 views

    Inspekta jenerali mteule wa polisi Japhet Koome ameahidi kukomesha mauaji ya wakenya ya bila ya kujali sheria, wizi wa mifugo na ufisadi kati ya maafisa wa polisi. Akihojiwa na kamati ya usalama ya bunge, Koome vile vile ameahidi kuleta mabadiliko katika idara ya polisi.