- 198 viewsMkutano wa Hali ya Hewa: Moja ya matarajio makubwa ya nchi za Afrika ni kupatiwa fedha zilizoahidiwa na mataifa tajiri katika mikutano iliyopita ili waweze kugharimia miradi itakayopunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa kwa haraka iwezekanavyo. Mwandishi wetu anachambua athari kubwa inayozikabili nchi za Kiafrika. Endelea kusikiliza repoti hii maalum ya mkutano wa kimazingira wa COP27, unaofanyika Sharm EL-Sheikh.... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mkutano wa COP27: Afrika inataka nchi tajiri kufadhili miradi ya kuokoa mazingira
- 3 Jul 2025 - Boniface Kariuki Mwangi, a street vendor known for selling face masks, died from severe head injuries caused by a single close-range gunshot. An autopsy conducted today revealed that four bullet fragments remained lodged in his brain, evidence of the…
- 3 Jul 2025 - In a bid to tighten its control over the media, the government has introduced stringent rules to regulate live broadcasts. The proposals, termed by a section of Members of Parliament as draconian, seek to muzzle the media.
- 3 Jul 2025 - Deputy President Kithure Kindiki says the nation’s security and stability will be guarded by all means possible for faster development and prosperity.
- 3 Jul 2025 - Ndiangui Kinyagia who went missing on June 21 is a shaken man after he resurfaced in court on Thursday.
- 3 Jul 2025 - The National Police Service (NPS) has summoned blogger Ndiang'ui Kinyagia to present himself at the Directorate of Criminal Investigations (DCI) Headquarters to record a statement, following his unexpected reappearance from what was widely reported as a…
- 3 Jul 2025 - Wamuchomba said what Ndiangu’i had done was wrong because Kenyans were fighting for his release.
- 3 Jul 2025 - This is part of a government programme that aims at upgrading and equipping health facilities.
- 3 Jul 2025 - All pleaded not guilty and were each released on a bond of Sh10 million.
- 3 Jul 2025 - The DP said nothing will be achieved if peace and harmony is not guaranteed
- 3 Jul 2025 - Police said the deceased died after the pick-up they were travelling in was involved in a self-accident