- 406 viewsDuration: 1:08Mahakama Kuu ya Mombasa imeagiza mhubiri tata Paul Nthenge Mackenzie pamoja na washukiwa wenzake saba kufanyiwa uchunguzi wa afya ya akili kabla ya kusomewa mashtaka mapya ya mauaji yanayohusiana na matukio katika maeneo ya Kwa Binzaro, Kaunti ya Kilifi.