12 Feb 2026 1:25 pm | Citizen TV 122 views Duration: 1:39 Wakulima wa miwa kutoka Awendo kaunti ya Migori wametishia kusitisha shughuli katika Kampuni ya Sukari ya Sony iwapo deni la shilingi milioni 185 halitalipwa.