Skip to main content
Skip to main content

Wafanyibiashara katika kaunti ya Kwale wameunga mkono agizo la kamanda wa polisi Ali Nuno la risasi

  • | Citizen TV
    392 views
    Duration: 1:42
    Wafanyibiashara katika kaunti ya Kwale wameunga mkono agizo la kamanda wa polisi wa Pwani Ali Nuno kwa maafisa wa polisi kutumia nguvu kuwakabili wahalifu wa magenge ya panga boys. Wanasema hatua hiyo itaimarisha usalama ambao umedorora eneo la Pwani na kuwajaza hofu wafanyibiashara na wakaazi wanaoshambuliwa kila siku kwa kukatwa kwa panga. Wafanyibiashara hao wamesema usalama unafaa kuimarishwa hata zaidi wakati huu ambapo watu wanajiandaa kwa mfungo wa mwezi mtufuku wa Ramadhan.