Mbunge Sakwa Bunyasi apendekeza hazina maalum ya kugharamia karo ya wanafunzi wasiojiweza

  • | KBC Video
    10 views

    Mbunge wa Nambale, Sakwa Bunyasi ametoa wito kwa serikali ya kitaifa kubuni hazina maalum ya kugharamia karo ya wanafunzi kutoka familia fukara. Akiongea katika shule ya upili ya Siera ambako alikabidhi hundi za msaada wa masomo, Bunyasi alisema pesa hizo zitapunguza mzigo wa karo kwa familia zisizojimudu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News