Skip to main content
Skip to main content

Murkomen akanusha shambulizi kanisani Nyeri lilitekelezwa na polisi

  • | KBC Video
    250 views
    Duration: 1:52
    Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amepuzilia mbali madai kwamba asasi za usalama zilihusika kwenye shambulizi lililotokea kanisani huko Witima, eneo bunge la Othaya, kaunti ya Nyeri. Murkomen alisema siyo desturi au sera ya serikali kuvuruga maabadi, akisema uchunguzi unaendelea kubaini wale waliotekeleza vitendo hivyo vya kuchukiza. Akizungumza kwenye mkutano ulioandaliwa na spika wa bunge la kitaifa, Murkomen alikashifu wanasisa wanaohudhuria mikutano ya kanisa wakiandamana na wahuni waliojihami. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive