Skip to main content
Skip to main content

Maseneta wasema hawatasita kuwawajibisha magavana wabadhirifu

  • | KBC Video
    69 views
    Duration: 2:44
    Bunge la seneti limeapa kuendelea kuwawajibisha magavana kuhusiana na matumizi ya fedha za umma, likipuuzilia mbali hatua ya baraza la magavana ya kususia kufika mbele ya kamati zake kuhojiwa. Kupitia taarifa kwa bunge hilo, spika Amason Kingi alisema azimio la magavana la kukpsa kufika mbele ya kamati ya seneti ya usimamizi wa fedha za umma pamoja na kupunguza utangamano na kamati za seneti unakiuka sera za ugatuzi. Na huku akitangaza mipango ya kukutana na magavana katika muda wa siku siku 14, seneta wa kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna, ambaye ameelekezwa kidole cha ufisadi na magavana ametishia kuchukula hatua za kisheria dhidi ya magavana hao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive