- 112 viewsDuration: 2:57Uzalishaji miwa katika mpango wa unyunyiziaji mashamba maji wa Bura unatarajiwa kufikia ekari elfu-50 kufuatia kukamilishwa kwa awamu ya pili ya mifereji ya kutiririsha maji kwenye mashamba. Hatua hiyo inatarajiwa kuongeza uzalishaji miwa humu nchini na kuwavutia wawekezaji zaidi. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive