Rais William Ruto amewapuzilia mbali wale wanaokosoa kuhusika kwake moja kwa moja katika uendelezaji wa mradi wa NYOTA kote nchini. Rais Ruto, ambaye aliongoza hafla ya usambazaji pesa kwa vijana kwenye kaunti za Mandera na Wajir, alisema mradi huo ni wenye manufaa na kwamba unanuiwa kubadilisha maisha ya vijana wa humu nchini huku vijana elfu-120 wakiwa wamenufaika kupitia mradi huo kufikia sasa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive