Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya ulaghai wa pesa za Nzoia Sugar yaahirishwa tena

  • | Citizen TV
    187 views
    Duration: 1:14
    Kesi dhidi ya ulaghai ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kusaga Sukari ya Nzoia,  Godfrey Sifuna Wanyonyi, pamoja na maafisa wengine saba wa ngazi za juu wa kampuni hiyo, imehairishwa tena.