Mkenya awasaidia wanafunzi kijijini kujifunza kutumia kompyuta

  • | VOA Swahili
    60 views
    Shule ya msingi ya Zawadi Yetu yanufaika na mchango wa mwanakijiji aliyerejea nyumbani na kuanza kuwasaidia jamii yake kwa kutoa mafunzo ya kompyuta ili kusaidia kuwaelimisha vijana bado wakiwa wadogo juu ya matumizi ya teknolojia hiyo. Amekuwa akitumia fursa hiyo kuwaandaa wataalam wa siku zijazo kani fani hiyo ya mawasiliano ya teknolojia. Endelea kusikiliza repoti kamili... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.