- 351 viewsDuration: 3:36Shule ya upili ya wasichana ya Mugumo ndio wanufaika wa hivi karibuni zaidi wa programu ya magazeti katika elimu inayolenga kuhamasisha utamaduni wa kusoma miongoni mwa wanafunzi na pia kuunda uelewano wa kijamii. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya