Skip to main content
Skip to main content

Sekta ya afya yakabiliwa na changamoto za kifedha kufuatia kusitishwa kwa ufadhili wa kigeni

  • | KBC Video
    154 views
    Duration: 2:10
    Wataalam wanatahadharisha kuhusu uwezekano wa kulemazwa kwa huduma muhimu za afya na kuongezeka kwa mianya katika upatikanaji wa huduma za matibabu kote nchini kufuatia hatua ya serikali ya Marekani ya kuondoa ufadhili kwenye sekta hiyo. Ripoti mpya ya kituo cha uchanganuzi wa maradhi katika chuo kikuu cha Nairobi inaashiria kwamba ufadhili wa huduma za afya kutoka nje ya nchi umepungua kwa zaidi ya nusu, hatua inayodhihirisha haja kwa taifa hili kutafuta mbinu thabiti za kutegemea katika sekta ya afya. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive