- 304 viewsDuration: 2:27Kenya huenda ikalazimika kuagiza mahindi kutoka Zambia huku baa la njaa likitishia maisha katika kaunti mbalimbali. Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe amesema Zambia itauzia Kenya magunia milioni moja ya mahindi iwapo shehena iliyoko humu nchini haitatosha. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive