Kalonzo Musyoka amkosoa waziri wa biashara na viwanda Moses Kuria

  • | Citizen TV
    4,429 views

    Viongozi kutoka kaunti ya machakos wameshtumu vikali matamshi ya waziri wa biashara na viwanda Moses Kuria ya kutaka kuwafurusha watu wanaoishi katika shamba la kampuni ya simiti ya Portland. Wakiongozwa na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka, viongozi hao wanasema hawaturuhusu jaribio la kuwafurusha wakazi hao huku wakimtaka Rais William Ruto kuingilia kati swala hilo