Kongamano la kutafuta suluhu ya hali mbaya ya hewa laendelea

  • | Citizen TV
    291 views

    Huku kongamano la mabadiliko ya tabia nchi likiendelea, mataifa ya bara Afrika yanalalamika kuwa maswala muhimu yanayohusu bara hili hayapewi umuhimu. Huku swala la hasara na uharibifu unaosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi likiahirishwa hadi mwaka 2024. Jamila Mohamed anaungana nasi na mengi zaidi kutoka Sharm El Sheikh, Misri