Wakazi wa Sirende wamlaumu Chifu wa eneo lao kwa kugawanisha jamii

  • | West TV
    88 views
    Wakazi wa eneo la Sirende katika kaunti ya Trans Nzoia wanataka Chifu wa eneo hilo achunguzwe na kutimuliwa kwa kile wanachodai kupiganisha na kugawanisha jamii kinyume na kazi yake hususan kwa kesi za ardhi kwa familia.